Simba yavunja mwiko Mbeya, yanga Azam 'ngoma droo' Ilivyokuwa katika mchezo wa Yanga na Azam Uwanja wa Taifa Klabu ya Simba ya Dar es salaam, hii leo imevunja mwiko wa kushindwa kuifunga Mbeya City baada ya leo kuitungua katika dimba lake la nyumbani Sokoine jijini Mbeya. Read more about Simba yavunja mwiko Mbeya, yanga Azam 'ngoma droo'