NEC yataka vyama kutoa elimu siku ya upigaji kura
Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imewataka viongozi wa vyama vya siasa kutoa Elimu kwa wanachama wao kwa kuzingatia na kutekeleza sheria ya uchaguzi ,Maelekezo na kanuni za tume hiyo ili kuhakikisha uchaguzi mkuu unafanya kwa amani na utulivu.