Fuateni sheria utangazaji matokeo-TCRA Mwenyekiti wa kamati ya Maudhui ya Utangazaji wa TRCA Bi. Margaret Munyagi Tume ya mawasiliano nchini Tanzania (TCRA), imevitaka vyombo vya habari kufuata sheria na taratibu za utangazaji wa matokeo kama zilivyoainishwa na tume hiyo. Read more about Fuateni sheria utangazaji matokeo-TCRA