Vijana 450 mashuleni kushiriki ligi ya kikapu

Ligi ya mpira wa kikapu ya vijana kati ya miaka 12 na 14 ya jijini Dar es salaam inatarajiwa kuanza kutimua vumbi mwanzoni mwa mwezi Februri mwakani kwa kushirikisha shule 30 kwa timu za wanaume pekee.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS