Azam FC kuifuata Ndanda kesho
Kikosi cha Azam Fc kinatarajiwa kuondoka hapo kesho kuelekea mjini Mtwara kujiandaa na mechi dhidi ya Ndanda FC ya mjini humo ikiwa ni muendelezo wa michuano ya ligi kuu ya soka Tanzania Bara itakayopigwa siku ya Alhamisi uwanja wa Nangwanda Sijaona.