Wananchi msifanye kampeni siku ya uchaguzi- LHRC
Wananchi wametakiwa kujiepusha na vitendo vyovyote ambavyo vitaashiria kampeni siku ya uchaguzi, kwani kwa kufanya hivyo atakuwa amekipelekea chama chake kuchukuliwa hatua za kisheria kwa kuvunja sheria za uchaguzi.