Idris Elba kuwa Dj tamasha la Madona

Muigizaji na Dj, Idris Elba anatarajiwa kuwa mgeni kwenye ziara ya msanii nguli wa muziki wa Pop nchini Marekani Madona, iliyopewa jina la ‘Rebel Heart’ na kufanya ufunguzi wa tamasha hilo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS