Wasanii UDSM watoa somo kwa Tanzania
Wasanii wa muziki kutoka chuo Kikuu cha Dar es Salaam yaani UDSM All Stars, wamekazia mchango wao katika kuhamsisha amani kuelekea uchaguzi, sambamba na harakati hizo kukiwa na kazi yao ya pamoja ambayo inasimama kwa jina 'Tanzania Mpya'.