Kashfa zinashusha wasanii kimuziki- Ras Ino
Msanii nguli wa muziki wa reggae Inocent Nganyagwa (Ras Ino) amesema kitendo cha wasanii kutobadilika kutokana na soko na kuendekeza kashfa mbali mbali, ni moja ya sababu inayopelekea msanii kushuka kimuziki na kiuchumi.