Skonga
Wanafunzi kutoka Kenton High School ya Tabata wiki hii wamejadili kuhusiana na hili kwenye SKONGA: Kipi bora kusoma tution (masomo ya ziada) ukiwa katika darasa la mtihani yaani kidato cha pili, nne na sita, muda wa likizo au siku zote? USIKOSE