Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na sensa ya Watu na Makazi Bw. Ephraim Kwesigabo
Mfumuko wa bei umeongezeka kutoka asilimia 6.1 mwezi Septemba mwaka huu hadi asilimia 6.3 Oktoba mwaka huu kutokana na kushuka kwa shilingi ya kitanzania katika manunuzi.