Wawekezaji wa ndani wa sukari waimarishe viwanda
Waziri mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda amewataka wawekezaji wa ndani katika sekta ya sukari kuhakikisha wanaimarisha viwanda vyao kwa kuzalisha sukari kwa wingi kutokana na mahitaji ya bidhaa hiyo kuhitajika kwa watanzania wengi.