Ligi ya Kikapu Mkoa yasimama kupisha Uchaguzi Mkuu Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es salaam BD kimesema kimeahirisha Ligi ya Mkoa ya Mpira wa Kikapu ili kuweza kupisha zoezi la Uchaguzi Mkuu wa nchi. Read more about Ligi ya Kikapu Mkoa yasimama kupisha Uchaguzi Mkuu