Ferre Gola kutumbuiza Nai Staa wa muziki wa dansi kutoka Kongo, Ferre Gola Staa wa muziki wa dansi kutoka Kongo, Ferre Gola anatarajiwa kufanya onyesho lake la kwanza kabisa huko nchini Kenya tarehe 7 mwezi Novemba mwaka huu ikiwa ni historia kwake kubwa. Read more about Ferre Gola kutumbuiza Nai