Muafaka upo njiani kupatikana-Maalim Seif

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad.

Chama cha Wananchi CUF kimesitisha ajenda yao ya kurejesha kwa wananchi mpango wa kupinga uamuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC, kufuta matokeo ya uchaguzi baada ya juhudi za kidiplomasia kuonyesha muelekeo wa kupata ufumbuzi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS