JK kufungua kongamano la masuala ya uchumi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete anatarajiwa kufungua kongamano la masuala ya kiuchumi pamoja na kutanua sekta mtambuka ikiwemo utawala bora na mawasiliano ya kielektroniki kwa lengo la kukuza a maendeleo.