Watoto wenye Albinism waomba wasifichwe
Watoto wenye (Albinism) wameitaka jamii isiwafiche na kuwanyanyapaa badala yake iwapatie elimu itakayowasaidia wao na jamii zao hivyo wameitaka serikali na jamii kuchukua jukumu la kuwalinda dhidi ya watu wenye mila potofu dhidi yao.