Taifa Stars kuweka kambi uarabuni au Afrika Kamati ya Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imesema inaendelea na maandalizi ya kambi ya timu ya taifa ikiwa ni sehemu ya kujiandaa na mechi dhidi ya Algeria Novemba 14 mwaka huu. Read more about Taifa Stars kuweka kambi uarabuni au Afrika