Barnaba asaini vichwa vinne 'High-Table'

Staa wa muziki nchini Barnaba Classic

Staa wa muziki Barnaba Classic, ameweka wazi kikosi cha wasanii ambao kwa sasa tayari wamekwisha mwaga wino kufanya kazi chini ya studio anayomiliki ya Hightable Sound ambayo imekwishaanza kuonesha matunda yake katika tasnia ya muziki Tanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS