Kala: 'Tujitokeze kupiga kura'
Star wa muziki Kala Jaremiah, leo zikiwa zimebaki siku 2 kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania ameonesha kuwa na imani na utaratibu mzima wa matokeo ya uchaguzi kuanza kutolewa katika vituo, akiamini kuwa mwaka huu zoezi hilo litakuwa ni la kipekee.