Ringtone akomalia swala la mirahaba
Nyota wa muziki Kenya, Ringtone ameendelea na vita yake dhidi ya mkuu wa Jumuiya ya Hakimiliki ya kazi za muziki nchini Kenya, Maurice Okoth kupinga juu ya utaratibu wa kushughulikia mirahaba ya wasanii unaotumika sasa.