Sekta ya kilimo inaweza kuwakomboa vijana - Pinda

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua mavuno ya mahindi kutoka shambani kwake yaliyokusanywa nyumbani kwake Kibaoni wilayani Mlele,

Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda amesema sekta ya kilimo ikitiliwa mkazo ni nyenzo muhimu katika kutatua changamoto za kiuchumi na ajira nchini hususani kwa vijana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS