JK awahakikisha wananchi uchaguzi huru na amani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amewahikikishia watanzania kuwa uchaguzi utakuwa huru na wa amani na wasiwe na hofu huku akiwaonya wenye lengo la kufanya vurugu na kusema hatua kali zitachukuliwa dhidi yao.