King Dee msanii anayekuja kwa kasi King Dee msanii toka Kenya anayekuja vizuri katika gemu, amesema kuwa amejipanga vizuri sana katika kufanya muziki mzuri ili aweze kuiwakilisha vizuri Afrika Mashariki kupitia muziki wake anaofanya. Read more about King Dee msanii anayekuja kwa kasi