BD kufanya uchaguzi wake baada ya uchaguzi wa nchi
Chama cha mpira wa kikapu mkoa wa Dar es salaam BD kimesema kinatarajia kufanya uchaguzi wake mkuu wa viongozi baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa nchi unaotarajiwa kufanyika Jumapili wiki hii.