Skonga Shule ya sekondari Chamazi wiki hii kwenye #SKONGA wanajadili hili: Unadhani wanafunzi kutojishughulisha katika masuala ya maenedeleo hasa nje ya darasa, ni chanzo kwa wao kutokuwa wabunifu? Na burudani zao je? Jumamosi saa 12: 00 jioni.Submitted by richard on Friday , 23rd Oct , 2015 Read more about Skonga