Siku 6 zimebaki Wizkid kutikisa Dar

Wizkid

Siku 6 tu, zimebaki kuelekea kuandikwa kwa historia nyingine kubwa kwa upande wa Tasnia ya Burudani jijini Dar es Salaam kupitia onyesho la #WizkidLiveInDar ambapo nyota wa kimataifa Wizkid kutoka Nigeria atatua na kutumbuiza kwa mara yake ya kwanza kabisa nchini Tanzania.

Tukio hilo kubwa litafanyika katika viwanja vya Leaders Club tarehe 31 mwezi huu, kuanzia saa 12 jioni kwa kiingilio cha shilingi 20,000 kwa tiketi ya kawaida na shilingi 100,000 kwa tiketi ya VIP.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS