Izzo Bizness - Sina mpango wa kuoa kwa sasa. Msanii anayewakilisha vyema pande za Mbeya Izzo Bizness amesema hatarajii kuingia kwenye maisha ya ndoa hivi karibuni, ingawa yuko kwenye mahusiano. Read more about Izzo Bizness - Sina mpango wa kuoa kwa sasa.