Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi NEEC, Beng'i Issa
Wawekezaji wa Kimataifa katika Sekta ya Gesi asili na mafuta wamehakikishiwa mazingira mazuri ya uwekezaji nchini kwa kuwawekea sera nzuri zitakazonufaihsa pande zote mbili.