Makandarasi wadogo watakiwa kushirikiana Mwenyekiti wa Bodi ya Makandarasi Tanzania CRB , Consolata Ngwimba Makandarasi wadogo nchini Tanzania wametakiwa kushirikiana ili walete ushindani na kampuni kubwa katika kupata zabuni za kufanya maendeleo ndani ya nchi. Read more about Makandarasi wadogo watakiwa kushirikiana