IRFA yakubali mapungufu kwa timu zake.

Uongozi wa Chama cha Soka Mkoani Iringa IRFA umesema japo timu zote shiriki za ligi daraja la kwanza mkoani humo zinafanya vizuri lakini wanaamini bado kuna mapungufu hivyo watatakiwa kuyafanyia kazi ili kukuza soka mkoani humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS