Ligi ya RBA kuendelea hapo kesho baada ya uchaguzi
Baada ya kusimama kwa muda wa wiki mbili kupisha uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25 mwaka huu, Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es salaam BD kesho kinaendelea na ratiba zake za michuano ya ligi ya mkoa RBA.