Ben Pol hajawatosa wasanii chipukizi
Staa wa muziki Ben Pol, ametolea ufafanuzi kutoonekana akitoa sapoti kwa wasanii aliowatambulisha katika gemu, akiwepo Alice na pia Heri Muziki, hatua ambayo inayoonesha kuwa star huyo amewaweka kando chipukizi na kuendelea na mishe zake binafsi.