Magufuli, Samiah kukabidhiwa hati ya ushindi leo
Aliyekuwa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye kwa sasa ndiye Rais mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli leo anatarajiwa kukabidhiwa hati ya ushindi kutoka tume ya taifa ya Uchaguzi(NEC).