Mkurugenzi wa Watetezi wa Haki za Binadamu Onesmo Ole Ngurumwa,
Asasi zisizo za serikali (Azaki) wamemtaka Rais Mteule Dr John Magufuli asimamie rasilimali za taifa ili ziwanufaishe wananchi wote na kuwatoa katika lindi la umasikini na kuleta maendeleo kwa nchi.