Skonga Jumamosi hii saa 12:00 jioni kwenye #SKONGA wanafunzi wa Muhanga Sec. School wanajadili hili: Mzazi kumpatia mwanae pesa nyingi kama 'Pockert Money' (pesa ya ziada) hasa anayekaa shule ya bweni yupo sahihi au anakosea? UsikoseSubmitted by richard on Friday , 30th Oct , 2015 Read more about Skonga