Ben Pol arudisha fadhila mkoani kwake Msanii Ben Pol amekuwa msanii wa kuigwa kwa kuwa kama balozi wa mkoa aliotoka Dodoma, kwa kuutangaza na kurudisha fadhila kwa mchango wake anaoupata kutokana na muziki. Read more about Ben Pol arudisha fadhila mkoani kwake