NEC, UN zawapongeza watanzania kwa uchaguzi makini
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Tanzania NEC Jaji Damian Lubuva ametoa shukrani zake kwa watanzania ambao walijitokeza kwa wingi kuchagua viongozi wao katika uchaguzi mkuu nchini uliofanyika Oktoba 25.