Wizkid Atua Dar, kuwasha moto Leaders Club leo

Dj Snype | Sam Misago (East Africa Radio/TV) | Wizkid

Msanii mkali toka NIGERIA WIZKID ametua jijini Dar es salaam usiku wa jana tayari kabisa kwa kutoa burudani ya LIVE yenye kiwango cha kimataifa akiwa na band yake katika onyesho la #WizkidLiveInDar Leaders Club usiku wa leo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS