Magufuli awe kiunganishi cha Maendeleo kwa wote

Rais Mteule Dk. John Pombe Magufuli akiwashukuru wananchi wote waliompigia kura kwenye uchaguzi wa Rais uliofanyika tarehe 25,oktoba

Wakazi wa jiji la Arusha wamemtaka Raisi Mpya wa Awamu ya tano John Pombe Magufuli awe kiunganishi cha Watanzania wote bila kujali itikadi za vyama vya siasa ,kabila na dini ili kujenga umoja wa kitaifa utakaoleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS