Ikulu yasema haijapokea maombi ya CUF kumuona JK

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliemtembelea Ikulu May 30,2015

Ikulu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekana kupokea maombi ya Maalim Seif Sharrif Hamad kutaka kuonana na Rais Jakaya Kikwete ili kuzungumzia suala la Mgogoro wa Kisiasa Visiwani Zanzibar.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS