Stars yaelekea Afrika kusini,Maguli kujiunga kesho
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kimeondoka leo saa 4 asubuhi kuelekea nchini Afrika Kusini kuweka kambi ya siku 10 kujiandaa na mchezo dhidi ya Algeria Novemba 14 jijini Dar es salaam.