Vijana watakiwa kuchangamkia fursa za Ujasiriamali
Vijana wametakiwa kuchangamkia fursa ya kushiriki kwenye mashindano yanayowashirikisha wajasiliamali kama njia ya kuendeleza mitaji,kusimamia na kupata taaluma ya uendeshaji wa miradi ya kimaendeleo.