Mkoa wa Njombe mwenyeji wiki ya usafi wa mazingira
Wananchi mkoani Njombe wanatarajia kuwa wenyeji wa maadhimisho wiki ya usafi wa mazingira na uchimbaji choo duniani kitaifa, na kufanya maonesho mbalimbali ya usafi wa mazingira na uboreshaji wa vyoo.