Viongozi watimize mahitaji ya raia- Black Rhino Msanii Black Rhino ambaye ni ndugu wa Mbunge Mteule wa jimbo la Mikumi Joseph Haule au Profesa Jay, amewataka viongozi waliochaguliwa na wananchi kuwaongoza, watekeleze matakwa ya wananchi Read more about Viongozi watimize mahitaji ya raia- Black Rhino