Prof Jay: Vijana walete mabadiliko
Star mkongwe wa muziki wa rap ambaye ni mbunge mteule wa jimbo la Mikumi, Professor Jay ametoa wito kwa vijana kujituma na kuwa chachu ya kufanya mabadiliko katika taifa lao, hatua ambayo wanatakiwa kuichukua sasa bila kujali itikadi za vyama vyao.