Sanaa itakuza uchumi ikitiliwa mkazo - Quick Rocka
Msanii Quick Rocka ameitaka serikali kuelewa na kuweka mkazo zaidi kuendeleza sanaa ya Tanzania na kuifanya kuwa sehemu ya mapato ya nchi, kwa kuwa kupitia muziki na sanaa kiujumla nchi inaweza kupata faida kubwa kiuchumi.