Timu za Netball muungano zatakiwa kuthibitisha Chama cha Netiboli nchini CHANETA kimezitaka Klabu sita zilizoiwakilisha Tanzania Bara katika mashindano ya Muungano mwaka huu kuthibitisha ushiriki wao kabla ya Novemba 20 mwaka huu. Read more about Timu za Netball muungano zatakiwa kuthibitisha