Wanafunzi wasomea chini ya miti Mtwara vijijini

Baadhi ya wanafunzi wakionekana wakisomea chini ya mti (Picha na maktaba Yetu).

Wanafunzi wa shule ya msingi Nanyati, kata ya Mkunwa katika halmashauri ya Mtwara vijijini wanalazimika kusomea chini ya miti na wengine kukaa chini kutokana na kukosa madarasa na madawati, baada ya shule hiyo kuwa na chumba kimoja.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS