Katy Perry No.1 kwa kuwa na fedha nyingi 2015

Mwanamuziki Katy Perry ametajwa na Forbes kuwa ndiye msanii wa kike aliyeingiza fedha nyingi kwa mwaka huu wa 2015, kwa kuingiza dola za Marekani milioni 135, huku akifuatiwa na Taylor Swift ambaye ameingiza dola milioni 80.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS